Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania.
Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava.
Juma hili Exclusive interview inamsimamisha mtu mzima Izzo Bizness huku tukisikia toka kwa Belle9, Badest47, Recho na Fredrick Mulla
Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki.
Kwanza Radio itapatikana punde online saa 24 kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com
Kwa sasa tusikilize kupitia
Radio Garden
http://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv
OnlineRadio Box
https://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza