Author: kwanzaadmin

Katika Dondoo na Reggae wiki hii unasikia mahojiano kati ya Mubelwa Bandio na msanii Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan. Ameeleza mengi kuhusu yeye, muziki wake, siasa nk https://soundcloud.com/kwanzaproduction/dondoo-na-reggae-jhikoman Matangazo ya Kwanza Radio yatakujia punde kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com.Kwa sasa unaweza kusikiliza radio kupitia Radio Gardenradio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Boxonlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza

Read More

https://soundcloud.com/kwanzaproduction/dondoo-na-reggae-julai-10-2021 Katika Dondoo na Reggae jumamosi hii tumezungumzia kidogo kuhusu hali tete ya nchini Haiti. Lakini pia tumezungumzia suala la uRAFIKI na kusikiliza chagu la msikilizaji. Tutakujia punde kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.comKwa sasa unaweza kusikiliza radio kupitiaRadio Gardenhttp://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBvOnlineRadio Boxhttps://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanzaTuneInhttps://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/

Read More

Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania.Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki. Kwenye Exclusive interview wiki hii kasimama Danny Msimamo ambaye amelonga mengi na Rashid Mbegani https://soundcloud.com/kwanzaproduction/255infopackage-ep-17 Kwanza Radio itapatikana punde online saa 24 kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.comKwa sasa tusikilize kupitiaRadio Gardenhttp://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Boxhttps://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneInhttps://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/

Read More

Kwenye kipindi cha Dondoo na Reggae cha Kwanza Radio juma hili kumesikika nyimbo mbili ambazo ni uchaguzi wa wasikilizaji wetu Kisha tukapata nafasi kumzungumzia msanii Gramps Morgan https://soundcloud.com/kwanzaproduction/dondoo-na-reggae-julai-3-2021mp3

Read More

Watu wengi wanasubiri kuona tangazo la ujio wa simu mpya. Yaweza kuwa iPhone 13 ama wanavyoweza kuamua kuiita. Lakini ikiwa ni nusu mwaka tangu kutoka kwa iPhone12, tetesi juu ya ujio wa toleo jipya la simu zinazidi kuzagaa na wataalam wa masuala ya teknolojia wameanza hata kutabiri nini kitakuwemo kwenye simu hizo. Wengi wanaamini kwamba haitakuwa na tofauti kubwa kimuundo ukilinganisha na iPhone12 mini, lakini itakuwa na nyongeza za mambo mengine. Mtandao maarufu na unaoheshimika kwenye masuala haya na ushauri wa ununuzi wa vitu vya kiteknolojia wa TechRadar wameandika hapa kwamba wanaamini wanajua baadhi ya mambo kuhusu ujio huo mpya.…

Read More

Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania.Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. https://soundcloud.com/kwanzaproduction/255infopackage-ep-16 Juma hili Exclusive interview inamsimamisha mtu mzima Izzo Bizness huku tukisikia toka kwa Belle9, Badest47, Recho na Fredrick Mulla Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki.Kwanza Radio itapatikana punde online saa 24 kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.comKwa sasa tusikilize kupitiaRadio Gardenhttp://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Boxhttps://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneInhttps://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/

Read More

Amemshirikisha Enock Bella Msanii Jumbe Hamza aka Mr TZ ama SanTZ ameachia wimbo wake mpya uitwao MTOTO aliomshirikishaEnock Bella. Tumekutana naye na kufanya mahojiano. Furahia mahojiano na wimbo wenyewe https://www.youtube.com/watch?v=7SpiJo95954 https://www.youtube.com/watch?v=eBVCHkrWu0k

Read More