Author: kwanzaadmin

Kituo cha matangazo cha Kwanza Production kinaanzisha kipindi maalum kuzungumzia mambo mbalimbali ya yahusuyo watu wenye asili ya Tanzania waishio nje ya nchi. Kipindi hicho kitakachokuwa kikirushwa kwenye akaunti ya YouTube ya kituo hicho, kitahoji watu wanaojishughulisha na mambo mbalimbali nje ya nchi, na namna wanavyoshiriki maendeleo nyumbani Tanzania

Read More

Kwa miaka 800 iliyopita, eneo la rasi ya Reykjanes lililopo kusinimagharibi ya Iceland lilikuwa kimya. Lakini miezi 15 iliyopita imekuwa na dalili za milipuko. Na kwa juma lililopita pekee, kumekuwa na zaidi ya matetemeko elfu kumi na saba (17,000). Wingi huu wa matetemeko umetoa dalili kwamba kunaweza kuwepo kwa awamu nyingine ya matukio ya kijiolojia ambayo wanasayansi wanasema kwamba yanaweza kuendelea kwa miaka 100 ama zaidi Wanasayansi wansema wameanza kuona sehemu za ardhi zikibadili umbo, na kwamba wanaamini wamesikia sauti za magma ikisogea kuelea usawa wa ardhi. Swali ambalo wengi sasa wanajiuliza, ni kama hilo linamaanisha kwamba kutakuwa na mlipuko…

Read More