Katika Dondoo na Reggae jumamosi hii tumezungumzia kidogo kuhusu hali tete ya nchini Haiti.
Lakini pia tumezungumzia suala la uRAFIKI na kusikiliza chagu la msikilizaji.
Tutakujia punde kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com
Kwa sasa unaweza kusikiliza radio kupitia
Radio Garden
http://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv
OnlineRadio Box
https://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza
TuneIn
https://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/