Kituo cha matangazo cha Kwanza Production kinaanzisha kipindi maalum kuzungumzia mambo mbalimbali ya yahusuyo watu wenye asili ya Tanzania waishio nje ya nchi.
Kipindi hicho kitakachokuwa kikirushwa kwenye akaunti ya YouTube ya kituo hicho, kitahoji watu wanaojishughulisha na mambo mbalimbali nje ya nchi, na namna wanavyoshiriki maendeleo nyumbani Tanzania