Kwa miaka 800 iliyopita, eneo la rasi ya Reykjanes lililopo kusinimagharibi ya Iceland lilikuwa kimya. Lakini miezi 15 iliyopita imekuwa na dalili za milipuko. Na kwa juma lililopita pekee, kumekuwa na zaidi ya matetemeko elfu kumi na saba (17,000).
Wingi huu wa matetemeko umetoa dalili kwamba kunaweza kuwepo kwa awamu nyingine ya matukio ya kijiolojia ambayo wanasayansi wanasema kwamba yanaweza kuendelea kwa miaka 100 ama zaidi
Wanasayansi wansema wameanza kuona sehemu za ardhi zikibadili umbo, na kwamba wanaamini wamesikia sauti za magma ikisogea kuelea usawa wa ardhi. Swali ambalo wengi sasa wanajiuliza, ni kama hilo linamaanisha kwamba kutakuwa na mlipuko wa Volcano?
Soma makala kamili HAPA